
Tupigie BURE | Toll Free
0800 714 888
+255 699 077 988
Barua Pepe | Email
help@selcompesa.app
Selcom Experience Center. Karibu yako zaidi!
Selcom Experience Centers (SXC) ni vituo maalumu vya Selcom vinavyotumika kutoa huduma na maelezo kwa wateja mbalimbali. Kupitia Selcom Experience Center mteja au mshirika wetu ataweza kupata huduma za Selcom Pesa ikiwemo kufahamu juu ya Selcom Pesa na kufungua akaunti, kuweka pesa, kupata kadi ya Selcom Pesa Mastercard kwa ajili ya malipo na matumizi kwenye ATM. Pia SXC zinatoa huduma za Selcom Wakala, Selcom Lipa, duka.direct na zaidi. Angalia orodha inayoendelea kukua kila siku ya Selcom Selcom Experience Centers hapo chini kujua iliyo karibu nawe zaidi ili uweze kufika na kupatiwa huduma kwa haraka na urahisi zaidi.
Ofisi Kuu ya Mauzo
Bibi Titi Mohamed Rd
Uhuru Heights, Ghorofa ya Pili.
Piga Bure 0800 714 888