Mabando ya Miamala

Mabando ya Miamala ni ofa inayokuruhusu kujiunga kisha kuendelea kufanya miamala bila gharama za ziada. Kwa siku, wiki au mwezi.