Tumevuka Boda! Sasa unaweza kutuma pesa Kenya na Selcom Pesa, ni rahisi na haraka!

Tuma Pesa Kenya kwa Urahisi Selcom Pesa Inakuweka Kwanza

Sasa unaweza kufanya hivyo moja kwa moja kupitia aplikesheni ya Selcom Pesa na kila hatua ya kutuma pesa ndani ya aplikesheni ni wazi na rahisi kufwata.

Kipi Kinaifanya Iwe ya Kipekee?

kutumia huduma hii ni rahisi sana. Unachohitaji ni kufungua aplikesheni ya selcom pesa, kisha chagua nchi ya kenya tuma pesa, kisha chagua Mobile Money na chagua Safaricom. Baada ya hapo, ingiza taarifa za mpokeaji, na pesa inatumwa moja kwa moja kwenye akaunti yake ya Safaricom bila usumbufu, bila kuchelewa.

Utaonyeshwa kiwango cha ubadilishaji wa fedha kilicho halisi kwa muda huo. Hii inakusaidia kujua mapema kiasi gani kitafika kwa mpokeaji  kila kitu kiko wazi kabla hujabofya thibitisha.

Hauta kutana na makato ya ziada wala mabadiliko ya kiwango bila taarifa. Unajua unachotuma, unajua kinachopokelewa  kila kitu kiko wazi, hadi senti ya mwisho.

Hakuna kubahatisha.

Kabla ya kutuma pesa, kila kitu kinawekwa wazi unajua unachotuma, kiasi kinachokatwa, na kile ambacho mpokeaji atapokea.

Unapata maelezo yote kabla huja thibitisha, ili usiwe na wasiwasi wowote. Ni uwazi kutoka mwanzo hadi mwisho, na wewe unadhibiti kila kitu kwa utulivu na uelewa kamili.

Unapokea Pesa papo hapo

Mpokeaji wa Safaricom atapokea pesa ndani ya muda huohuo unapotuma.Huna haja ya kupitia kwa wakala, kusubiri ujumbe wa uthibitisho, au kupanga foleni.

Tuma pesa kwa familia, ndugu na marafiki au lipia huduma yoyote, yote yanafanyika kwa urahisi. Ukiwa na Selcom Pesa, si tu kwamba unatuma pesa; bali unafanya kila kitu bila stress, bila usumbufu.

Previous
Previous

Weka kikomo cha Matumizi Yako na Selcom Pesa Mastercard.

Next
Next

Pata Lipa Namba Bila Mchakato