Uzinduzi wa Ecoplus: Kadi ya Chakula ya Kidijitali kwa Wanafunzi wa Vyuo Tanzania

Ecowater kwa kushirikiana na Selcom Pesa tumezindua rasmi (ecoplus) Kadi ya Chakula ya Kidijitali kwa wanafunzi wa vyuo vya Dodoma, Dar es Salaam na Morogoro na baadae nchi nzima!

Kadi maalumu inahakikisha fedha za chakula zinatumika kikamilifu kwa malengo yake kwa njia salama na rahisi. Bila makato nunua kuponi za chakula kupitia Selcom Pesa pekee.

Lipa kwa ecoplus kwenye mgahawa wa kampasi.Fuatilia matumizi yako muda wowote. Wazazi wanaweza kuweka fedha na kuona matumizi kupitia Selcom Pesa. Kadi hii inawaruhusu wazazi, kufuatilia kwa uhalisia jinsi fedha wanazotuma zinavyotumika.

Kwa sababu kila mwanafunzi anastahili kupata kila mlo, kila siku.

Next
Next

Kupitia uzinduzi wa Selcom Lipa Later, tumeleta njia bora na nafuu ya kufanya malipo ya mafuta.